Wapo - Harmonize
С переводом

Wapo - Harmonize

Год
2021
Язык
`Swahili`
Длительность
247660

Below is the lyrics of the song Wapo , artist - Harmonize with translation

Lyrics " Wapo "

Original text with translation

Wapo

Harmonize

Оригинальный текст

Mmmh mmh

Hivi kwanini nijitutumue

Na dunia sio makazi

Vijineno neno vinisumbue

Hadi nishindwe kazi

Mama alisema mkuku kwa nguruwe

Kuishi na watu kazi

Achambe atukane ata aniue

Nishasamehe mzani ni mzazi

Mwenzenu naficha naficha

Mengi ninayo yaona

Kifupi nafunika kombe

Nikiamini kesho nayo siku

Mapicha picha mapicha

Sidhani kama nitapona

Wanangu wa mtaani mniombee

Hii vita ni mchana na usiku

Oooh kuna watu na viatu

Wanatamani milele wawe wao

Ukijituma watasema

Unashinda nao

Oooh ni kama watu kumbe

Ndani wana roho za chatu

Hawatosheki na vikubwa vyao

Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao

Mola nipe ujasiri

Kwenye kufanya maamuzi

Zidi nikomaza akili

Isinipoteze miluzi

Uniamshe alfajiri

Kama jana na juzi

Kupata kukosa ni siri

Nawe ndo Mungu baba mwamuzi

Dear Lord, wapo

Iyeiye iye, wapo

Japo ni ngumu kuwaona, wapo

Wapo wasotaka ufanikiwe

Binadamu hawana jema,

Kila utachofanya watasema, wapo

Wasotaka ubarikiwe

Watakuita mwanga kibonge

Tena kwa dharau wakucheke

Wanachotaka we uongee

Waseme shukrani ya punda mateke

Kama vipi dem wake tumgongee

Ndiye anayempiga chura teke

Usipoonewa ndonge

Basi ndo ujue hauna makeke

Sikia Konde kwepa bana mjini shule

Ukipata kidogo leta na nao tule

Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure

Maana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote

Sio wa kike anacheka wa kiume analialia

Bila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatu

Wanatamani milele wawe wao

Ukijituma watasema

Unashinda nao

Machoni nikama watu

Kumbe

Ndani wana roho za chatu

Hawatosheki na vikubwa vyao

Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao

Mola nipe ujasiri

Kwenye kufanya maamuzi

Zidi nikomaza akili

Isinipoteze miluzi

Uniamshe alfajiri kama

Jana na juzi

Kupata kukosa ni siri

Nawe ndo Mungu baba mwamuzi

Dear Lord, wapo

Iyeiye iye, wapo

Japo ni ngumu kuwaona, wapo

Wapo wasotaka ufanikiwe

Binadamu hawana jeru, wapo

Kila utachofanya watasema, wapo

Wapo wasotaka ubarikiwe

Dear Lord

«Special message to the Youth»

It’s your time now to follow your dreams

No matter what people say stay humble

Stay positive, follow your dream

Believe in God, ease your mind

Ease your mind for Lord

Перевод песни

Mmmh mmh

This is why I have to push myself

And the world is not a home

The word words bother me

Until I lost my job

Mom said chicken to pig

Living with working people

Let him curse and let him kill me

Forgive me the scales are a parent

Your partner is hiding and hiding

Much I see

In short I need a cup

I believe tomorrow is the day

Pictures pictures pictures

I do not think I will recover

My street children pray for me

This war is day and night

Oooh there are people and shoes

They long to be forever

If you send it they will say

You win with them

Oooh it's like people

Inside they have python spirits

They are not satisfied with their greatness

They want your little one to be theirs

Lord give me courage

In decision making

The more I mature the mind

Don't lose sight of me

Wake me up in the morning

Like yesterday and yesterday

Getting lost is a mystery

And you are God the Father judge

Dear Lord, there they are

Yes he is, there

Although difficult to see, they are

There are those who want you to succeed

Humans are not good,

Whatever you do they will say, there they are

They want you to be blessed

They will call you a light pill

Again with contempt let them laugh

What they want you to talk about

Say thank you ass kicks

How about his dem let's hit him

Then he kicked the frog

If you do not see the dice

So you know you don't have to worry

Hear Konde avoid children in school

If you find a little bring it and eat it

They say you are used to it for free

Because monkeys do not always see kundule

As father and mother are the pillars of the world

Love them all

Not a female laughs a male cries

Without any help

Oooh there are people and shoes

They long to be forever

If you send it they will say

You win with them

In the eyes I look like people

Or

Inside they have python spirits

They are not satisfied with their greatness

They want your little one to be theirs

Lord give me courage

In decision making

The more I mature the mind

Don't lose sight of me

Wake me up in the morning like

Yesterday and yesterday

Getting lost is a mystery

And you are God the Father judge

Dear Lord, there they are

Yes he is, there

Although difficult to see, they are

There are those who want you to succeed

Humans are not evil, they are

Whatever you do they will say, there they are

There are those who do not want you to be blessed

Dear Lord

Special message to the Youth

It’s your time now to follow your dreams

No matter what people say stay humble

Stay positive, follow your dream

Believe in God, ease your mind

Ease your mind for the Lord

2+ million lyrics

Songs in different languages

Translations

High-quality translations into all languages

Quick search

Find the texts you need in seconds