Uno - Harmonize

Uno - Harmonize

Год
2019
Язык
`Swahili`
Длительность
155760

Below is the lyrics of the song Uno , artist - Harmonize with translation

Lyrics " Uno "

Original text with translation

Uno

Harmonize

Konde boy

Uno

Everybody say Uno

Asema uno everybody say uno

Uno likiteguka uwezi kutemba

Masai rukaruka anilinyenyekea

Chumbani kwenye shuka

Linanitetea

Mzugu kawehuka limemukolea

Lakimakonde lakichaga

Eeeeeeh lakichaga

Wengine Hadi wanywe pombe ndio

Wanalimwaga

Eeeeeh wanalimwaga

Uno lawima wima linatokea Congo

Sindolile Gwajima

Alimumwagia kondo

Uno oh oh oh oh

Linawaokoa makahaba baba

Kuna walo ngoa meno saba baba

Lilimtoa H-baba baba Yani

A E I O Uno everybody say uno

Asema uno everybody say uno

Meza migando Kama hautaki

Upinde Kama unakanda chapati

Basi lizungushe hadi kwenye bati

Mwaga kwote varangati

Basi kata taratibu tibu usije pata ajali

Uno la chibu Chibu

Linamkondesha Zari

Uno la Ray-C iii iih halinaga mifupa

Ukienda DRC iii iih Kuna

Fally ipupa

Aaaaaah popote wanalimwaga

Uno Yani kinagaubaga uno

Wejaribu kuchunguzanga uno

Uno ndio Lina legeza chaga

Lina waokoa makahaba baba

Kuna walong’oa meno saba baba

Lilimtoa H-baba baba

Yani A E I O Uno

Everybody say uno

Asema uno

Everybody say uno

Meza migando Kama hautaki

Upinde Kama unakanda chapati uno

Basi lizugushe hadi kwenye bati uno

Basi mwaga kote varangati uno

Everybody say uno

Sema uno

Everybody say uno

Oh my God it’s better sounds

2+ million lyrics

Songs in different languages

Translations

High-quality translations into all languages

Quick search

Find the texts you need in seconds