Below is the lyrics of the song Matatizo , artist - Harmonize with translation
Original text with translation
Harmonize
Haiyee Aaah!
Wasafi records
Olelelelee
Alfajiri imefika
Anga inang’aa
Mvua inaanza katika
Ghafla tumbo la njaa
Naweka sauti kwa spika
Nipate umbea wa Dar
Mara simu inaita
Jina la Uncle Twaha
Akisema, mama yu hoi kitandani
Kama si wa leo wa kesho
Na kupona sizani
Upate japo neno la mwisho
Mi ndo mtoto wa pekee
Nyumbani wananitegemea
Mdogo wangu wa kike
Hali duni alishaga olewa
Tizama jasho langu la mnyonge
Kipato hakikidhi mahitaji
Napiga moyo konde
Yarabi mola ndo mpaji
Matatizo Matatizo
Yatakwisha lini
Matatizo
Kila siku mimi
Ewe mola
Matatizo yatakwisha lini
Japo likizo
Nifurahi na mimi
Mola aliniumba na subira
Imani pekee ngao yangu
Mbona nishasali sana
Ila mambo bado tafalani
Mama kanifunza kikabila
Nikonde sana haini yangu
Tena nijitume sana
Na vya watu nisivitamani
Hata mpenzi niliyenae
Najua siku atanikimbia
Itanitesa ye ndo nguzo
Zile ngoja kesho badae
Atazichoka kuzivumilia
Anakosa hata matunzo
Ona, nadaiwa kodi nilipopanga
Nashinda road nikihanda
Nishapiga hodi kwa waganga
Kwa kuhisi narogwa
Nikauza maji na karanga
Nikawa dobi kwa viwanda
Ila kote ziro ni majanga
Mtindo mmoja
Mi ndo mtoto wa pekee
Nyumbani wananitegemea
Mdogo wangu wa kike
Hali duni alishagaolewa
Tizama jasho langu la mnyonge
Kipato hakikidhi mahitaji
Napiga moyo konde
Yarabi mola ndo mpaji
Matatizo.
matatizo
Yatakwisha lini
Ewe Mola
Matatizo
Kila siku mimi
Jamani Matatizo
Matatizo Ooh matatizo
Yatakwisha lini
Japo likizo
Nifurahi na mimi
Matatizo.
matatizo
Yatakwisha lini
Matatizo
Kila siku mimi
Jamani Matatizo
Matatizo matatizo
Yatakwisha lini
Japo likizo
Nifurahi na mimi
Haiyee Aaah!
Wasafi records
Long
The dawn has arrived
The sky is bright
Rain begins in
Suddenly a hungry stomach
I set the sound to the speaker
Get me a Dar fan
Once the phone rings
Name of Uncle Twaha
Saying, mom is helpless in bed
If not for tomorrow
And recovery is not enough
Find at least one last word
I am the only child
At home they depend on me
My little girl
The poor man was already married
Look at my poor sweat
Income does not meet demand
I live in the field
Yarabi mola ndo giver
Problems Problems
When will it end?
Problems
Every day I
Yes sir
When will the problems end?
Although a holiday
I'm happy with me
The Lord created me with patience
Faith alone is my shield
Why do I pray so much?
But things are still tense
My mother taught me ethnicity
I love you so much
Again send me a lot
And of the people I do not desire
Even my beloved
I know the day he runs away from me
Itanitesa ye ndo pillars
I will wait until tomorrow
He will be tired of enduring them
He lacks even care
See, I owe tax when I plan
I cross the road and walk
I have already knocked on the door of the doctors
By feeling bewitched
I sold water and nuts
I became a laundry for industry
But all around zero is disaster
One style
I am the only child
At home they depend on me
My little girl
Poor condition she was unmarried
Look at my poor sweat
Income does not meet demand
I live in the field
Yarabi mola ndo giver
Problems.
problems
When will it end?
Yes Lord
Problems
Every day I
Jamani Problems
Problems Ooh problems
When will it end?
Although a holiday
I'm happy with me
Problems.
problems
When will it end?
Problems
Every day I
Jamani Problems
Problems problems
When will it end?
Although a holiday
I'm happy with me
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds