Below is the lyrics of the song Atarudi , artist - Harmonize with translation
Original text with translation
Harmonize
Na ye ni mwanadamu, Na dunia tunapita\nKama kupata kwa zamu, Oooh Zamu, Yangu itafikaa\nSiwezi kana damu, Kesho wataja nizika\nIla ningependa afahamu, Haya mateso aloniipa\nMmmh. Tena mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeeh\nKupata foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh\nOooh Oooh Ooooh\nSina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya\nHuyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameihama kaya\nCha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa\nAtarudii, Atarudi mama\nAtarudi, Anawapenda sana\nAtarudi, Atawaletea zawadi\nAtarudi, Eeeeh Atarudi mama\nAtarudi, Atarudi mama\nAtarudi, Anawapenda sana\nAtarudi, Atawaletea Zawadi\nAtarudiiiiih\nSiwezi sema sijui tatizo, Hali yangu duni imefanya ukanikimbia\nNi vyema ungefanya maigizo, Mara kumi usingenizalia\nMmmh, Ingali Mapenzi pekee, Ningesema ni changamoto nijifunzee\nAmeniacha mpwekeee, Na watoto niwatunze\nEeeh, Ila siwezi laumu, Aaaaaaah, Wenda yupo sawa, Aaaah\nKipato changu kigumu, Aaaaah, Kutwa Bumunda na Kahawa, Aaaah\nEeeh. Ila mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeh\nKupata Foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh\nOooh Oooh Ooooh\nSina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya\nHuyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameiaga kaya\nCha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa\nAtarudii, Atarudi mama\nAtarudi, Anawapenda sana\nAtarudi, Atawaletea zawadi\nAtarudi, Eeeeh Atarudi mama\nAtarudi, Atarudi mama\nAtarudi, Anawapenda sana\nAtarudi, Atawaletea Zawadi\nAtarudiiiiih\nOhh My God It’s Beta Sound
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds