Below is the lyrics of the song Zaidi , artist - Jux with translation
Original text with translation
Jux
Na na na nax4
Zinanitoka goose bumps, Nikisikia jina lako
Mi ninaweukaa, Kabisa mi ni chizi wako
Na kama ni mganga eeeh, Mzuri huyo mganga wako
Sio kwa kunipumbaza huku (Baby mmhh)
Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh
Kama ni pilipili maa, Acha ukali niusikie
Kama nivita mama, Acha adui wanivamie
Kama we ni asali maa, Acha na nyuki wanivamie
Lakini penzi lako baby, Ata kidogo lisipungue
No no nooooo
Zaidi X4
Nipe X2
Zaidi X2
Wewe zaidi zaidiii
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
Nanyosha mikoni juu, kwako me nimesurrender
Naona maajabu, Sungura kazidiwa ujanja
Nimekuwa zuzu zuzu zuuu, Nimekuwa bubu bubu buuu
Nimekuwa mbumbu mbuu baby ehh, Nimekuwa zaidi ya nyumbu
Sioni sisikiii… (aaah)
Sioni sisikiii baby eeeh
Kama ni pili pili maa, Acha ukali niusikie
Kama nivita mama (na na na na), Acha adui wanivamie
Kama we ni asali maa, Acha na nyuki wanivamie
Lakini penzi lako baby, Ata kidogo lisipungue
Zaidi X4
Nipe X2
Zaidi X2
Wewe zaidi zaidiii
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh (Mmmmh)
Angela Maria • 1956
Ece Seçkin • 2024
Eloy • 1992
Jam in the Van, Trash Panda • 2023
Reinaldo • 2002
Çeşitli Sanatçılar, Alp Arslan, Faruk Salgar • 2012
I$$A • 2020
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds