Below is the lyrics of the song Hey! , artist - Just A Band with translation
Original text with translation
Just A Band
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Kaa kuna mtu hii dunia ana bahati ni mimi
Najua kila mtu ataniuliza kwa nini
Manzi yangu bumba hata mi siamini
Sitaki Ruth, sitaki Ray, sitaki pia Kanini
Kushikwa nimeshikwa nikaweka mfuko
Hakuna pickpocket atanitoa huko
Ni mimi na yeye
Yeye na mimi
Tuko pamoja kama mdomo ulimi
Amekua na mimi nikikaranga chumvi
Atakuwa na mimi nikianza kunona
Sijamwona leo lakini story ni hii
Nitachukua simu yangu nimwambie hivi
Ntasema
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako infanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako infanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine na waita kadhalika
Si kila siku utapata msichana moja mzuri
Msichana amesoma 'kini hana kiburi
Msichana saa zingine anasoma zaburi
Kusikiza santuri kwake pia desturi
Kama niko naye kila kitu ni shwari
Naona poa sana ananijali hali
Ye ni upepo wangu katika jua kali
Tafadhali please nitasema ukweli
Akiniacha leo sitafuti mwingine
Mambo ya kutafuta niliacha zamani
Lakini hiyo haitafanyika jamani
Juu hata yeye najua anafikiri hiyi
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhlika
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhlika
I have eyes for only you for only you
I have eyes for only you for only you
I have eyes for only you for only you
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby
Nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona
Hey Kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby
I want to see you
Your appearance makes the soul heal
Hey Really we are angels
The others I call the same
Hey baby
I want to see you
Your appearance makes the soul heal
Hey Really we are angels
The others I call the same
There is always someone in this world who is lucky to be me
I know everyone will ask me why
My water bumba even I do not believe
I don't want Ruth, I don't want Ray, I don't want Kanini either
Captured I grabbed and put the bag
No pickpocket will get me there
It's me and him
He and I
We are together like mouth and tongue
He grew up with me frying salt
He will be with me when I start to get fat
I have not seen him today but the story is this
I will pick up my phone and tell him this
I will say
Hey baby
I want to see you
Your image makes the soul heal
Hey Really we are angels
The others I call the same
Hey baby
I want to see you
Your image makes the soul heal
Hey Really we are angels
The others and so on
Not every day you will find one beautiful girl
The girl has read 'she is not proud
A girl sometimes reads a psalm
Listening to his phonograph is also customary
If I am with him everything is calm
I find it very cool he cares about the situation
Who is my wind in the scorching sun
Please please I will tell the truth
Leaving me today I will not look for another
Things to look for I left long ago
But that will not happen in the future
Up even he I know thinks this
Hey baby
I want to see you
Your appearance makes the soul heal
Hey Really we are angels
I call the others kadhlika
Hey baby
I want to see you
Your appearance makes the soul heal
Hey Really we are angels
I call the others kadhlika
I have eyes for only you for only you
I have eyes for only you for only you
I have eyes for only you for only you
Hey baby
I want to see you
Your appearance makes the soul heal
Hey Really we are angels
The others I call the same
Hey baby
I want to see you
Your appearance makes the soul heal
Hey Really we are angels
The others I call the same
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds