Below is the lyrics of the song Naanzaje , artist - Diamond Platnumz with translation
Original text with translation
Diamond Platnumz
Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi
Kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi
Na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu
Maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu
Shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia
Yani tam tam kama pipi
Nakuita sweet
Ah lote lote
Fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi
Kama lote
Vicheche nisha delete
Sitaki cheat
Wa toke toke
Kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Mwenzako kukuacha siwezi
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Kukuacha oh, kabisa siwezi
Hadithi kuja hadithi njoo
Utamu kolea
Mzenzenu huba liko kwa roho
Limeninogea
Vishenshuda poleni wooo
Mnalo wambeya
Mtaja kuumwa makwasha koo
Kwa kutuongelea
Tena me kwake ndo daktari
Nampa tiba halali
Wanaitaga sukari
Alamba haam
Na jana nilifunga nkasali
Nikamuomba jalali
Tuepushe madhohari
Ya wanadamu
Ah ah, we tam tam kama pipi
Nakuita sweet
Ah lote lote
Fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi
Kama lote
Vicheche nisha delete
Sitaki cheat
Wa toke toke
Kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Mwenzako, kukuacha siwezi
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Kukuacha oh, kabisa siwezi
Na kukuacha sidhani
Siwezi jaribu
Maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu
Wasafi
He created the earth and created the heavens
He created the moon
Create the soul, Create the envy
He created them with love
And leave you sidhan
I can't try
Meaning love for balance
You are too much for me
Hold the steering wheel firmly
Let's go slowly
After Ya embankment Baby concentrate gears
I mean tam tam like candy
Nakuita sweet
Ah lote lote
Technician on kichikwichi
Shape how
Like the whole
Vicheche nisha delete
Sitaki cheat
Wa toke toke
At heart I have given you a seat
We ndo driver, not to leave you oh
How I Start, How I Start, How I Start
Your partner will not let you go
How I Start, How I Start, How I Start
Leaving you oh, I absolutely can't
Stories come stories come
Sweetness kolea
Your partner is in the spirit
It spoke to me
Vishenshuda pollen wooo
You have a baby
Mention a sore throat
By talking to us
Again me to him ndo doctor
I give him legal treatment
They call it sugar
Alamba haam
And yesterday I fasted and prayed
I asked him if I could
Avoid pitfalls
Of human beings
Ah ah, we tam tam like candy
Nakuita sweet
Ah lote lote
Technician on kichikwichi
Shape how
Like the whole
Vicheche nisha delete
Sitaki cheat
Wa toke toke
At heart I have given you a seat
We ndo driver, not to leave you oh
How I Start, How I Start, How I Start
Fellow, I can't leave you
How I Start, How I Start, How I Start
Leaving you oh, I absolutely can't
And to leave you I do not think
I can't try
Meaning love for balance
You are too much for me
Clean
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds