Below is the lyrics of the song Mapenzi Basi , artist - Diamond Platnumz with translation
Original text with translation
Diamond Platnumz
Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi sitaki
Yalinifanya nikaugua
Mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Ah sikulala, sikulala
Oh maradhi nikaugua oh
Yakanichoma na kuungua roho
Kutwa nawaza na kuwazua
Sikulala
Hayo mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana, nikatukanwa
Lakini akanipiga teke
Ai haya mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nkagombana, usiku mchana
Yeye
Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi sitaki
Oh nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwagia radhi
Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu
Yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa simba na panzi
Vurugu kwa majirani
Ah, ee Mola wangu
Hayo mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nshagombana, nikatukanwa
Lakini akanipiga teke
Ai haya mapenzi bwana, hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nkagombana, usiku mchana
Yeye
Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi sitaki
Mi mate again then
Oh I will not
Oh fellow again then
Then I do not want to
It made me sick
I immediately plan and cut
The body thinner and thinner
Ah we do not sleep, we do not sleep
Oh the disease I got sick oh
It burned me and burned my soul
I think about them all day long
We are not sleeping
That will sir, is meaningless
It made me laugh
The reason I did not argue, I was insulted
But he kicked me
Ai these will sir, they are meaningless
It made me laugh
The reason I argued, night and day
He
Mi mate again then
Oh I will not
Oh fellow again then
Then I do not want to
Oh I had an argument with a parent
He wanted me to apologize
Some reason, that one of my heart
It brought the leopard to work
The quarrel of lions and grasshoppers
Violence against neighbors
Ah, my Lord
That will sir, is meaningless
It made me laugh
The reason I did not argue, I was insulted
But he kicked me
Ai these will sir, they are meaningless
It made me laugh
The reason I argued, night and day
He
Mi mate again then
Oh I will not
Oh fellow again then
Then I do not want to
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds