Binadamu - Diamond Platnumz
С переводом

Binadamu - Diamond Platnumz

Год
2013
Язык
`Swahili`
Длительность
273390

Below is the lyrics of the song Binadamu , artist - Diamond Platnumz with translation

Lyrics " Binadamu "

Original text with translation

Binadamu

Diamond Platnumz

Оригинальный текст

Eyoh…

Yoh I’m back Bob Junior, I’m back

Acha vita ianze

Wamechelewa

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)

Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya

Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati

Wote niishi nao sawa

Nilipouanza mziki, mbali na dhiki

Nimekutana na matatizo sana

Sikuwa rafiki, sithaminiki

Bado kidogo mie tu nikate tamaa

Wangu moyo, ulivumilia dharau na masimango mi

Mi wangu moyo, ulivumilia utumwa na manyanyaso di

Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu

Nilikuwa naumia

Moyoni najipa moyo kesho ntakuwa maarufu

Mwisho wa siku nafulia

Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu

Nilikuwa naumia

Najipa moyo kesho ntakuwa maarufu

Mwisho wa siku nafulia

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)

Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya

Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati

Wote niishi nao sawa

Kidogo nakula na mama yangu

Siwezi kuwasahau na ndugu zangu

Upendo popote alipo kwa baba yangu

Japo alinikataa

Aa bata nakulaga mi na rafiki zangu

Tunacheza Reggae na masikini wenzangu

Alazwe pepa peponi na bibi yangu

Mjukuu wake Sanana

Sababu ya ugumu wa maisha

Na maumivu ya mapenzi nikaandika «Kamwambie»

Ndo hapo hustle zikaisha, kabariki Mwenyezi watanzinia wanizimie

Asa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia

Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia

Asa hivi kwenye tamasha yaani ikitajwa jina watu wanashangilia

Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)

Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya

Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati

Wote niishi nao sawa

Eii tena wabaya sana

Ouu wanakatisha tamaa

Eii uh wabaya

Tena wabaya

Ouu aah

Sana, wabaya sana

Wabaya sana

Mmh wabaya sana

Перевод песни

Eyoh…

Yoh I’m back Bob Junior, I’m back

Let the war begin

It's too late

You are the only one who knows how many bad people.

Brother, friend, who has a pure spirit, who has an evil spirit (evil)

You are the only one who knows how many bad people

Lord, please protect me from having real love

I live with them all the same

When I started music, away from stress

I have encountered a lot of problems

I was not a friend, I was not valued

Still a little I just give up

My heart, you endured contempt and mockery

My heart, you endured slavery and persecution di

That is, I struggle all night long in vain

I was in pain

In my heart I am confident that tomorrow I will be famous

At the end of the day I wash

I struggle all night with my bare hands

I was in pain

I encourage myself tomorrow I will be famous

At the end of the day I wash

You are the only one who knows how many bad people.

Brother, friend, who has a pure spirit, who has an evil spirit (evil)

You are the only one who knows how many bad people

Lord, please protect me from having real love

I live with them all the same

Little do I eat with my mother

I will never forget them and my brothers

Love wherever he is for my father

Although he rejected me

Aa duck I say goodbye to you and my friends

We play Reggae with my poor fellows

May she be buried in paradise with my grandmother

His granddaughter Sanana

The cause of the hardships of life

With the pain of love I wrote «Tell him»

Then the hustle is over, bless the Almighty and let me die

Asa is just at the festival when the name is mentioned and people are cheering

Some are even happier until they cry

This is exactly what the festival is all about

Some are even happier until they cry

You are the only one who knows how many bad people.

Brother, friend, who has a pure spirit, who has an evil spirit (evil)

You are the only one who knows how many bad people

Lord, please protect me from having real love

I live with them all the same

Eii again very bad

Ouu they are disappointing

Eii uh wabaya

Again bad

Ouu aah

Very, very bad

They are very bad

Mmh very bad

2+ million lyrics

Songs in different languages

Translations

High-quality translations into all languages

Quick search

Find the texts you need in seconds