Below is the lyrics of the song Nyota , artist - Tresor, DJ Maphorisa, Kabza De Small with translation
Original text with translation
Tresor, DJ Maphorisa, Kabza De Small
Wangonja nini
Kuja nishike tu sau shida zetu
Mpaka jioni
Mi ndapotea mikononi mwako fatou
Duniani mambo
Siwezi maisha kama wewe haukuje
Duniani mambo
Siwezi pumua kama wewe haunishike
Wasema nini
Njoo karibu tuicheze ngoma yetu
Tuviche mbali
Mapenzi yetu wanadamu si wazurri
Dunia ni mambo
Siwezi maisha kama wewe haukuje
Dunia ni mambo
Siwezi pumua kama wewe haunishike
Ntakuweka rohoni
Mpaka sisi turuke
Wewe ni nyota wa moyo
Ntakuweka rohoni
Mpaka sisi turuke
Wewe ni nyota wa moyo
What are they waiting for
Come on in, take a look and enjoy yourself!
Until the evening
I am lost in your hands fatou
Worldly things
I can't live if you didn't come
Worldly things
I can't breathe if you don't hold me
What do they say
Come on in, take a look and enjoy yourself!
Let's get away
Our human nature is not good
The world is crazy
I can't live if you didn't come
The world is crazy
I can't breathe if you don't hold me
I will not keep you in spirit
Until we fly
You are the star of the heart
I will not keep you in spirit
Until we fly
You are the star of the heart
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds