Waache Waoane - Chege, DIAMOND
С переводом

Waache Waoane - Chege, DIAMOND

Год
2016
Язык
`Swahili`
Длительность
231340

Below is the lyrics of the song Waache Waoane , artist - Chege, DIAMOND with translation

Lyrics " Waache Waoane "

Original text with translation

Waache Waoane

Chege, DIAMOND

Оригинальный текст

Said Fella!

T.M.K.

for life

Wasafi…

Enhee he he

Check it out…

Wasafi Records

Hook: Chege

Maji ya moto yamekuwa baridi

La la la la la…

Hakimu nimekuwa shahidi

La la la la la…

Ukishusha mateso ndo yanazidi

La la la la la…

Alioniliza ndio wa kunifariji

La la la la la…

Chorus: Chege

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Verse 1: Chege

Yame dhibitisha macho, lakini moyo unakataa

Nimeamini kikulacho, ni yule unayeona anayekufaa

Nilifumba mboni zangu, kwa wengine ni muone yeye tu

Nikamwaga jasho langu, japo kidogo' nile naye yeye tu

Mwambie' awe huru, wala si nto lalama

Ah ha… Ah ha…

Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama

Ah ha… Ah ha…

Chorus: Chege

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Verse 2: Diamond Platnumz

Oh…

Ay, Anaye panga kugawanya huwaga ni mungu baba

Katu siwezi kulalama, ridhiki mafungu saba

Nimejitahidi sana, huenda sikumridhisha labda

Ila kinacho nichanganya, hakuniamba kabla

Oh!

tena nakupa maua, umpelekee

Usije yatupa, naomba uya pokee

Oh!

Na swala ntafunga, usiku ni waombee

Awape baraka muumba, watoto wa waletee

Ee… Aah…

Pre-Chorus: Chege & Diamond Platnumz

Waache waoane…

Oh salimini salama

Waache waoane…

Aye, wawe baba na mama

Waache waoane…

Tena naeka na nadhiri

Waache waoane…

Aku!

si nto wasumbua

Hook: Chege

Maji ya moto yamekuwa baridi

La la la la la…

Hakimu nimekuwa shahidi

La la la la la…

Ukishusha tu mateso ndo yanazidi

La la la la la…

Alioniliza ndio wa kunifariji

La la la la la…

Chorus: Chege

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Waache waoane…

Hook: Diamond Platnumz

Aga' Japo moyo wangu 'kitete

Moyo wangu 'kitete

Ah, yarabi moyo 'kitete

Taratibu ntazoea

Moyo…'kitete

Moyo wangu 'kitete

Mwenzenu moyo 'kitete

Taratibu ntazoea

Oh mama moyo… 'kitete

Moyo hii…'kitete

Oh!

wangu moyo 'kitete

Moyo wangu mama

Eeh… aah…

Aiyo, Laizer…

Перевод песни

Said Fella!

T.M.K.

for life

Wasafi…

Enhee he he

Check it out…

Wasafi Records

Hook: Chege

Hot water has become cold

La la la la la…

Judge I have been a witness

La la la la la…

When you lower the suffering, it increases

La la la la la…

He was the one who comforted me

La la la la la…

Chorus: Chege

Let them marry…

Let them marry…

Let them marry…

Let them marry…

Verse 1: Chege

It confirms the eyes, but the heart refuses

I believe what you eat, is the one you see fit

I closed my eyes, for others it was only to see him

I poured out my sweat, at least for a moment

Tell him 'to be free, and not to complain

Ah ha… Ah ha…

I do not want to offend you, let them marry safely

Ah ha… Ah ha…

Chorus: Chege

Let them marry…

Let them marry…

Let them marry…

Let them marry…

Verse 2: Diamond Platnumz

Oh…

Ah, the One who plans to divide the earth is God the Father

I can never complain, content with seven verses

I have tried very hard, I may not have satisfied him maybe

Except what confuses me, he never told me before

Oh!

and I will give thee flowers, and thou shalt bring them

Don't throw it away, please accept it

Oh!

And the prayer I will fast, the night is for them to pray

Bless the creator, the children bring them

Ee… Aah…

Pre-Chorus: Chege & Diamond Platnumz

Let them marry…

Oh hello safe

Let them marry…

Yes, they can be both father and mother

Let them marry…

Again I make a vow

Let them marry…

Aku!

it does not bother them

Hook: Chege

Hot water has become cold

La la la la la…

Judge I have been a witness

La la la la la…

If you just lower yourself the pressure will only get worse

La la la la la…

He was the one who comforted me

La la la la la…

Chorus: Chege

Let them marry…

Let them marry…

Let them marry…

Let them marry…

Hook: Diamond Platnumz

Aga 'Although my heart' is a cry

My heart's' body

Ah, yarabi heart 'kitete

Gradually I get used to it

Heart… 'kitete

My heart's' body

Companion 'heart

Gradually I get used to it

Oh mama heart… 'kitete

This heart… 'fetus

Oh!

my heart 'fetus

My mother's heart

Eeh… aah…

Aiyo, Laizer…

2+ million lyrics

Songs in different languages

Translations

High-quality translations into all languages

Quick search

Find the texts you need in seconds