Below is the lyrics of the song Baba Yetu , artist - Christopher Tin, Soweto Gospel Choir with translation
Original text with translation
Christopher Tin, Soweto Gospel Choir
CHORUS
Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni Yesu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Kun jina lako e’litukuzwe.
Utupe leo chakula chetu tunachohitaji
Utusamehe makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
Usitutie katika majaribu
Lakini utuokoe, na yule, milele na milele!
CHORUS
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni, Amina
CHORUS
Utupe leo chakula chetu tunachohitaji
Utusamehe makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
Usitutie katika majaribu
Lakini utuokoe, na yule, simama mwehu
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.
CHORUS
Our Father, who is Jesus
Heaven Jesus, Jesus, amen!
Our Father, Jesus, who is
May your name be honored.
Give us this day our daily bread
Forgive us our mistakes, hey!
As we forgive those who trespass against us
Do not put us to the test
But save us, and that, forever and ever!
CHORUS
Let your kingdom come
What you want done on earth as it is in heaven, Amen
CHORUS
Give us this day our daily bread
Forgive us our mistakes, hey!
As we forgive those who trespass against us
Do not put us to the test
But save us, and that one, stand up
Our Father, Jesus, who is
Glory to your name.
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds