Below is the lyrics of the song Kizaizai , artist - Diamond Platnumz with translation
Original text with translation
Diamond Platnumz
Yaananza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi eeh
Yaananza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi eeh
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih!
Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh
Ya mwenzako sikia ila yasikupate
Kizaizai
Nyie mapenzi yanauma
Kizaizai
Yanaumiza
Oh kizunguzungu
Kizaizai
Jama mapenzi mabaya
Kizaizai
Waweza gombana na ndugu
Kizaizai
Rafiki akawa mbaya
Kizaizai
Kazi ukaona chugu
Nyie mapenzi karaha
Eh!
Sumere wa
Grante grante
Mmmh!
Yanayima furaha
Yanakosasha raha
Yanayima furaha
Yanakosasha raha
Tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Tena usiombe kupende
Ulie mpenda ajue
Amani utakosa, karaha jamani
Dunia chungu kufa utatamani
Eiih!
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih!
Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh
Ya mwenzako sikia ila yasikupate
Kizaizai
Nyie mapenzi yanauma
Kizaizai
Yanaumiza
Oh kizunguzungu
Kizaizai
Jama mapenzi mabaya
Kizaizai
Waweza gombana na ndugu
Kizaizai
Rafiki akawa mbaya
Kizaizai
Kazi ukaona chugu
Nyie mapenzi karaha
Kizaizai
Baba na mama watake
Kizaizai
Chakula tamuni sumu
Kizaizai
Mashoga sasa wanafiki
Kizaizai
Kulala nanyi ni ngumu
Kizaizai
Eiih!
Yanauma
Kizazai
Tena yanauma sana
Kizaizai
Yanauma
Kizaizai
Tena yanauma sana
Kizaizai
Ooh yanauma sana
Ayo!
Haa!
And this is hit from Tanzania
Diamond Platnumz baby
In See Records
Holla
Wewe
Kizaizai
It starts as a journey
Let's go somewhere and see
But they are powerful and dangerous
If you catch it, that's where you are
It starts as a journey
Let's go somewhere and see
But they are powerful and dangerous
If you catch it, that's where you are
God created the world and its wonders
Listen to your partner and pray that it does not happen to you
Hey!
God created the world and its wonders eeh
Hear about your partner but don't let them find you
Kizaizai
You love hurts
Kizaizai
They hurt
Oh the giddiness
Kizaizai
Jama bad love
Kizaizai
You can fight with your brothers
Kizaizai
The friend became evil
Kizaizai
Work saw an ant
You guys will be disgusted
Eh!
Sumer of
Grant grant
Hmmm!
It stops happiness
They are uncomfortable
It stops happiness
They are uncomfortable
Again don't ask to love
Let the lover know
Again, don't ask to be loved
Let the lover know
You will miss peace, man
The bitter world will die
Hey!
God created the world and its wonders
Listen to your partner and pray that it does not happen to you
Hey!
God created the world and its wonders eeh
Hear about your partner but don't let them find you
Kizaizai
You love hurts
Kizaizai
They hurt
Oh the giddiness
Kizaizai
Jama bad love
Kizaizai
You can fight with your brothers
Kizaizai
The friend became evil
Kizaizai
Work saw an ant
You guys will be disgusted
Kizaizai
His father and his mother
Kizaizai
Sweet food poison
Kizaizai
Homosexuals are now hypocrites
Kizaizai
Sleeping with you is hard
Kizaizai
Hey!
It hurts
The womb
Again they hurt a lot
Kizaizai
It hurts
Kizaizai
Again they hurt a lot
Kizaizai
Ooh they hurt so much
Ayo!
Oh!
And this is a hit from Tanzania
Diamond Platnumz baby
In See Records
Holla
You
Kizaizai
Songs in different languages
High-quality translations into all languages
Find the texts you need in seconds